Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

JOKATE, WAFANYABIASHARA, WAKULIMA

DC JOKATE, WAFANYABIASHARA, WAKULIMA MKONGE KOROGWE WAONA FURSA BANDARI YA TANGA

0
Boniface Gideon, TANGA Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo ameongozo jopo la Wafanyabiashara na Wadau wa Maendeleo zikiwemo Benki mbalimbali pamoja na...
WAZIRI DKT, PINDI, TAARIFA

WAZIRI DKT. PINDI APOKEA TAARIFA HITILAFU YA UMEME UWANJA WA MKAPA

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Mei 6, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, amepokea taarifa ya Kamati...

WIZARA ZA ELIMU NA UTAMADUNI ZIWASAIDIE VIJANA KUMFAHAMU ZAIDI MWL. NYERERE – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia na ile ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ziandae utaratibu utakaosaidia vijana kujifunza na...

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI IKULU YA BURUNDI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi na kupokelewa na Rais...

PICHA – MAKAMU WA RAIS AKIWASILI BUJUMBURA BURUNDI LEO MEI 06

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo...

SERIKALI INAENDELEZA JUHUDI ZA KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA-WAZIRI UMMY

0
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendeleza juhudi za kupunguza viwango vya vifo vya wajawazito na watoto wachanga kwa kuzingatia...

Wasafirishaji wa Vifurushi na Vipeto watakiwa kurasimisha kwa kuwa na leseni

0
*Ni Kampeni ya TUMA CHAP ya TCRA Na Mwandishi Wetu Mbeya Wasafirishaji wote wa vifurushi na vipeto wanaofanya kazi katika kanda ya nyanda za juu kusini...
VIJIJI, BWASI, BUGUNDA

VIJIJI 3 VYA BWASI, BUGUNDA NA KOME MUSOMA VIJIJINI KUPATA MAJI YA BOMBA HIVI...

0
Na Shomari Binda-Musoma VIJIJI 3 vya Bwasi,Bugunda na Kome vilivyopo Kata ya Bulinga jimbo la Musoma vijijini vinatarajiwa kupata maji ya bomba kutoka ziwa victoria...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA