Home 2023
Yearly Archives: 2023
Wananchi watakiwa kuwa na tahadhari dhidi ya Magonjwa yasiyosahaulika
Wananchi wanaoishi kando Kando mwa ziwa Victoria wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Magonjwa ya kuambukizwa yanayosababishwa na maji ya ziwa na vijito yakiwemo ya...
MBUNGE AGNES AOMBA MIRADI YA MAJI VIJIJI VYA SERENGETI
Na Shomari Binda
MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Mara,Agnes Marwa,ameiomba serikali kupeleka miradi ya maji kwenye vijiji vya Serengeti ili kumtua mama ndoo kichwani.
Maombi...
CHANGIA WAGONJWA WANAOUGUA SARATANI, WANAHITAJI SADAKA YAKO
Na Magrethy Katengu
Umoja wa Machifu Tanzania kwa kushirikiana na taasisi ya Saratani Ocean Road wameandaa mechi ya mpira wa miguu kati ya Machifu na...
MAJALIWA AZITAKA HALMASHAURI KUSHIRIKISHA WACHIMBAJI UANDAAJI WA SHERIA NDOGO
*Asema katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2022/2023 mchango wa sekta ya madini ni asilimia 9.7
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote...
MAANDALIZI YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 YAIVA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Bw. Kadari Singo, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt.Natu El-maamry Mwamba, akifungua...
TMDF NA FAO YAZITAKA NGOs KUWA WADAU WA KUTUMIA MWONGOZO WA HIARI WA KUPUNGUZA...
Mwandishi wetuDar es salaam
Mkurugenzi wa shirika la Tanzania Media for Maritime and Fisberies Development (TMFD) Bwana Edwin Soko amekutana na Afisa na Shirika la...
DIWANI ASHA AINGIZA WANACHAMA WAPYA 305 ZIARA YA UHAMASISHAJI VIKUNDI
Na Shomari Binda-Musoma
DIWANI wa viti maalumu manispaa ya Musoma, Asha Muhamed amefanikiwa kuingiza wanachama wapya 305 wa CCM na jumuiya zake kwenye ziara ya...
UWEKEZAJI WA TWIGA CEMENT KWENYE KIWANDA CHA TANGA CEMENT KUONGEZA TIJA
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
SERIKALI imewahakikishia watanzania kuwa uwekezaji mpya wa zaidi ya dola za Marekani milioni 400 utakaofanywa na Kiwanda cha Saruji cha Twiga...
FILAMU YA FACE OFF YAZINDULIWA TANGA, KATIBU CCM AWAFUNDA WASANII
Na Boniface Gideon,Tanga
FILAMU ya FACE OFF inayoongozwa na Msanii maarufu Cecilia Kwetukia imezinduliwa mwishoni mwa wiki Jijini Tanga huku Wasanii wakipewa somo juu ya...















