Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023

Yearly Archives: 2023

BARRICK BULYANHULU YAFIKISHA KAMPENI YA USALAMA YA ‘JOURNEY TO ZERO’ KWENYE JAMII

0
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Cheick Sangare,akitoa zawadi ya jaketi la kinga ya ajali (Reflector) kwa mmoja wa waendesha punda za kubeba...
RAIS, SAMIA, WAKUU

PANGA PANGUA YA RAIS SAMIA LEO; WAKUU WA MIKOA NA MKUU WA WILAYA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Mkoa, uhamisho wa wakuu wa mikoa na...

TIMU GANI ZA TANZANIA ZIMEKUWA ZIKILETA GUMZO KUBWA KWENYE UPANDE WA MPIRA WA MIGUU?

0
Kuna timu kadhaa Tanzania ambazo zinaonyesha kiwango cha juu sana kwenye uchezaji wao wa mpira. Wanaendelea kuamsha hisia za mashabiki wao, na kama mashabiki...
BAJETI, 2023/2024, BARABARA

BAJETI 2023/2024 YAGUSA BARABARA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Binda- BAJETI ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka 2023/2024 imepanga kutengeneza kilometa 40 kiwango cha lami ya barabara ya Musoma-Makojo-Busekera. Barabara hiyo...
TUZO, HARUSI, AWAMU

TUZO ZA HARUSI AWAMU YA TATU KUFANYIKA MEI 28 DAR ES SALAAM

0
Na Magrethy Katengu Tuzo za Harusi Awamu ya tatu zinatarajiwa kufanyika Mei 28, 2023 jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 22...

PROF. MKENDA ANATARAJIA KUFUNGUA MAONESHO YA NANE YA UTAFITI

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda anatarajia kufungua maonesho ya nane ya Utafiti na Ubunifu yanayotarajia kuanza Mei 23 - 25,...

TRILIONI. 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI

0
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 3.5 kwa ajili ya utekelezaji wa...

MAKAMU WA RAIS AWASILI MISRI KUSHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA AfDB

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 22 Mei 2023 amewasili katika mji wa Sharm El Sheikh...
MUWASA, BOMBA, MAJI

MUWASA YAPOKEA BOMBA KUSAMBAZIA MAJI MITAA SABA

0
Na Shomari Binda-Musoma MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imepokea bomba kwaajili ya usambazaji maji mitaa 7 ya pembezoni. Zoezi la upokeaji...
UUZAJI, DAGAA, KUTUMIA

UUZAJI DAGAA KWA KUTUMIA MIZANI KUANZA MWEZI JULAI

0
Na Neema Kandoro, Mwanza Wakala wa Vipimo Mkoani Mwanza (WMA) imesema kuwa mwezi wa saba mwaka huu uuzaji wa dagaa ziwani utafanywa kwa kutumia mizani...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA