Friday, June 26, 2026
Home 2023 October

Monthly Archives: October 2023

WATOTO YATIMA, VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI WA KIISLAMU KUMUOMBEA RAIS DKT. SAMIA, DKT....

0
Na Scolastica Msewa, Kigamboni.Madrasat Hidaya Islamic Centre ya Kigamboni jijini Dar es salaam siku ya tarehe 7 mwezi huu inatarajia kuongoza waislamu na dini...

UJUMBE WA TANZANIA THAILAND WAKUTANA NA MTANZANIA ANAYEMILIKI KIWANDA CHA KUSHONA NGUO

0
Wakati wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand, mbali na kutembelea shughuli za madini, ulipata wasaa wa kukutana na kijana wa Kitanzania Suleiman...

WAZIRI UMMY: NDANI YA MIEZI SITA HOSPITALI ZOTE ZA HALMASHAURI ZIWE ZINAPIMA UGONJWA WA...

0
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Halmashauri nchini kuwapima ugonjwa wa Sikoseli watoto wote wanaozaliwa...

ATCL KUPOKEA NDEGE MPYA KESHO

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake...

TARURA YAJINYAKULIA POINTI 3 TOKA RAS KILIMANJARO

0
Timu ya mpira wa miguu ya TARURA imejinyakulia pointi 3 dhidi ya timu ya RAS Kilimanjaro wakati wa mchezo wa makundi katika mashindano ya...

MABINGWA 50 MTOKO WA KIBINGWA KUSHUHUDIA DERBY YA KARIAKOO KI VIP

0
KAMPENI kubwa ya Mtoko wa Kibingwa yazinduliwa rasmi mabingwa 50 kushuhudia derby ya kariakoo katika Jukwaa la VIP A Novemba 05, 2033 Kwa Mkapa. Akizungumza...

VIONGOZI WA DINI WAHAMASISHENI VIJANA KUFANYA KAZI KWA WELEDI-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini...

TARURA YAENDELEZA UBABE KWA KUIPIGA ARDHI 1-0

0
Timu ya Mpira wa miguu ya TARURA yaendeleza ubabe kwa siku tatu mfululizo ambapo Leo imefanikiwa kuipiga Ardhi goli 1-0 kwenye mashindano ya SHIMIWI. Katika...

MBUNGE BULAYA AJIVUNIA MASHINDANO YA BULAYA CUP KUTOA WACHEZAJI WENGI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa viti maalum Ester Bulaya amesema anayo furaha na kujivunia mashindano ya Bulaya Cup kutoa wachezaji wengi tangu yalipoanzishwa. Kauli hiyo aeitoa...

Shule ya Mumtaaz yasifiwa Kwa Taaluma bora

0
Shule ya Mumtaaz iliyopo jijini Mwanza Kata Buhongwa imesifika Kutokana na Taaluma mzuri ambayo imekuwa ikitolewa Shuleni hapo, hayo yamebainishwa na Mwalimu Mkuu wa...