Home Kitaifa Shule ya Sekondari Bidii jijini Mwanza yang’ara ufundishaji Bora Mwaka 2023

Shule ya Sekondari Bidii jijini Mwanza yang’ara ufundishaji Bora Mwaka 2023

Akizungumza kwenye Mahafari ya 10, yaliyofanyika hii Shuleni hapo Mkuu huyo amesema, wamehitimu watoto 163, wasichana ni 87 Wavulana 76 Kaimu Mkuu wa Shule Leonard Masanja amesema lengo kuu la Shule ya Bidii ni kutoa Elimu bora Kwa watoto kwa ajili ya kuwatengenezea Maisha Bora ya baadae Pamoja na ufaulu mzuri.

Lakini pia Masanja amesema uboreshaji wa mazingira Mazuri ya Kufundishia Ili kuendana na Kasi ya Elimu iliyopo nchini Kwa Sasa jitihada zetu ni kuhakikisha tunatoa Elimu Bora.

Ijulikane kuwa Shule ya Bidii ni Moja ya Shule inayofanya Vizuri sana katika Jiji la Mwanza na Tanzania hivyo basi Masanja aliwasii wazazi kuamini Shule ya Bidii na kuwaleta watoto wao wapate Elimu Bora.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!