Home Kitaifa MHE. KIKWETE AWASILI MKOANI TABORA KWENYE ZIARA YAKE YA KIKAZI

MHE. KIKWETE AWASILI MKOANI TABORA KWENYE ZIARA YAKE YA KIKAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora tayari kuanza ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua, kuzindua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi katika Mkoa huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!