MKUU WA WILAYA KISARAWE AWAONYA WAKANDARASI KUACHA UZEMBE KATIKA UJENZI
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Petro Magoti, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya serikali kuacha uzembe na kufanya kazi kwa kuzingatia mikataba na viwango...




