WAZIRI KAPINGA ASISITIZA TATHMINI ZA MARA KWA MARA KATIKA TAASISI ZA WIZARA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesisitiza umuhimu wa taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufanya tathmini za mara kwa mara kama njia...




