Home 2025
Yearly Archives: 2025
WADAU WA UTALII NA UHIFADHI NYANDA ZA JUU KUSINI WAHAMASISHWA KUWANIA TUZO ZA SERENGETI
Wadau wa uhifadhi na utalii katika mikoa ya nyanda za juu kusini wamehamasishwa kushiriki katika tuzo za uhifadhi na utalii za Serengeti (Serengeti Awards...
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi...
SERIKALI YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA UCHUMI WA BULUU
Serikali ya Tanzania kupitia Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) imenufaika na Mradi wa Uchumi wa Buluu na Kituo cha Mafunzo unaolenga kuimarisha...
TPDC YAHAMASISHA JAMII KULINDA MIUNDOMBINU YA GESI KUPITIA BONANZA LA MICHEZO NANGURUWE
Katika kuhamasisha wananchi kuendelea kulinda miundombinu ya gesi asilia inayopatikana katika eneo la Ntorya, Kata ya Nanguruwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Shirika la...
REA, TANESCO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUONGEZA IDADI YA WATEJA VIJIJINI
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ametoa rai kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika...
RAIS SAMIA AHIMIZA MAOMBI KUILINDA AMANI YA TAIFA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuwasisitiza Watanzania waendelee kuliombea Taifa ili amani, upendo, ustahimilivu na mshikamano...
UVCCM WAMPONGEZA DKT SAMIA KWA HOTUBA ILIYOGUSA VIJANA.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
MNEC wa kundi la Umoja wa Vijana Tanzania (UVCCM) na Mbunge wa Malindi Mhe Muhsin Ussi amesema kuwa Umoja huo utazidi kuongeza...
TUTAENDELEA KUKUZA SEKTA YA UTALII TUKILENGA WATALII MILIONI 8 IFIKAPO 2030 – RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kukuza Sekta ya Utalii ikilenga kufikia watalii wa ndani...
FURSA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TBS WAZINDUA SHINDANO LA UANDISHI WA INSHA ,...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limezindua shindano la uandishi wa insha kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi...
DKT MWIGULU: WATUMISHI WA UMMA KAENI MGUU SAWA
▪️Awataka wawe tayari kuwezesha maendeleo, waende kwa gia ya kupandia mlima
▪️Amshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua
WAZIRI MKUU, Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba...













