Home 2025
Yearly Archives: 2025
NDEJEMBI AIPA TANESCO KASI MPYA: AAMURU UBUNIFU, UWAJIBIKAJI NA UUNGANISHAJI WA HARAKA WA UMEME
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kufanya mageuzi makubwa katika kuboresha upatikanaji wa huduma ya umeme...
TBS WAENDELEA KUSISITIZA ULAJI WA CHAKULA SALAMA KWA WATANZANIA.
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limehimiza wananchi kuzingatia matumizi ya chakula salama pamoja na kuimarisha usafi katika maandalizi ya chakula ili kulinda...
DKT. MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC
Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC),...
WANANCHI KUNUFAIKA NA RUZUKU YA MAJIKO 1,583
Mkuu wa wilaya ya Hanang Mheshimiwa Almishi Hazali ametoa wito kwa wananchi wa wilaya ya Hanang kujitokeza kwa wingi kununua majiko banifu ambayo yameanza...
UKARABATI WA RELI YA TAZARA UTAIMARISHA UKANDA WA KATI NA KUSINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema ukarabati wa Reli ya TAZARA utaimarisha Ukanda wa Kati...
UNCDF YAONESHA NIA YA KUONGEZA USHIRIKIANO WA MAZINGIRA
Shirika la Maendeleo ya Mfuko wa Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) limekubali kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza Programu ya LoCAL awamu ya...
DKT. MWINYI APOKEA KITABU MAALUM CHA PICHA ZA KAMPENI 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepokea kitabu maalum chenye habari za picha kutoka kwa Mkurugenzi...
RAIS SAMIA AZINDUA TUME HURU YA UCHUNGUZI WA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI OKTOBA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameizindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea...
DKT. KIJAJI APOKEA RASMI OFISI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amekabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) tayari kwa...
MASAUNI ABORESHA MIKAKATI YA MAZINGIRA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Ofisi hiyo imepanga kupanua wigo wa elimu...













