Monday, December 15, 2025
Home 2025

Yearly Archives: 2025

WANANCHI VUO WAPATIWA FEDHA KUNUSURU RASILIMALI BAHARI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Wakazi wa kijiji cha Vuo wilayani Mkinga mkoani Tanga, wamepatiwa mafunzo ya usimamizi wa mazingira ya bahari na usimamizi wa fedha...

MKUU WA WILAYA AWAHAMASISHA MADIWANI NA WANANCHI KUJIHUSISHA NA MABARAZA

0
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Shaibu Issa Ndemanga, ametoa wito kwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa...

PROF. MKENDA ATOA AGIZO HILI KWA DIT , MAHAFALI YA 19 DURU YA KWANZA

0
  Na Mwandishi Wetu. Serikali imeiagiza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kuandaa taarifa maalum itakayowezesha utekelezaji wa mpango wa kupeleka wanafunzi nje ya nchi...

MRADI WA SHILINGI BILIONI 5.8 KUWEZESHA NISHATI SAFI SHULENI

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imesaini mikataba ya kufunga miundombinu ya nishati safi ya kupikia kwa shule za Sekondari 52 na Chuo cha VETA...

MITUNGI 3,255 YA GESI YASAMBAZWA KWA BEI NAFUU BABATI

0
Kongole hizo zimetolewa leo, tarehe 04 Disemba 2025, na wananchi wa Kata ya Ayalagaya Wilaya ya Babati mkoani Manyara wakati wa usambazaji na uuzaji...

MBUNGE SHINGO AANZA MKAKATI WA KISASA WA KUJENGA UWEZO WA VIJANA ILALA

0
Katika harakati za kuimarisha uchumi wa wananchi kupitia uwekezaji katika rasilimali watu, Mbunge wa Ukonga, Bakari Shingo, ameidhinisha mpango mahsusi wa kuwawezesha vijana wa...

SERIKALI YAIPONGEZA DIT KWA KUENDELEA KUZALISHA WABUNIFU , HAFLA YA KUTUNUKU VYETI NA KUWAPA...

0
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam, Disemba 03, 2025. Serikali imeipongeza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kuendelea kuwa chimbuko la wataalamu...

TBS WAWAPA ELIMU YA VIWANGO WAUZAJI , WASAMBAZAJI NA WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA UMEME

0
 Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa wazalishaji, waagizaji na wasambazaji wa bidhaa za umeme nchini, likilenga kuhakikisha bidhaa zinazoingia sokoni...

FCC YAELEZA ATHARI ZA AKILI MNEMBA KATIKA USHINDANI WA MASOKO

0
Tume ya Ushindani (FCC) imeanza maadhimisho ya Wiki ya Ushindani kuelekea kilele cha Siku ya Ushindani Duniani kitakachofanyika Desemba 5, ikiwa na lengo la...

WADAU WA SEKTA YA USAFIRISHAJI WAIPONGEZA TBS KWA KUWAPA ELIMU YA VIWANGO , MAADHIMISHO...

0
 Na Mwandishi Wetu.  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu kwa umma wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini yanayoratibiwa na Mamlaka ya...