Monday, December 15, 2025
Home 2025

Yearly Archives: 2025

KILANGO AENDELEA KUIMARISHA MIUNDO MBINU YA BARABARA JIMBO LA SAME MASHARIKI ATOA SHUKRANI KWA...

0
Na Dickson Mnzava, Ujenzi wa Barabara 100.5Km Mkomazi-Kisiwani-Same waanza, Mkandarasi wa Ujenzi wa Kipande cha 36 Km cha Mkomazi - Ndungu akabidhiwa Barabara Ujenzi...

RAIS DKT SAMIA AFUNGUA SKULI YA SEKONDARI MISUFINI BUMBWINI ZANZIBAR

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati...

TANZANIA NA JAPAN KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII

0
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.), ametoa wito kwa kampuni za Japan kuwekeza nchini Tanzania ili kutumia fursa zilizopo katika sekta...

WAZIRI SIMBACHAWENE : GARI LA WAGONJWA LISITUMIKE KUBEBA MAGENDO

0
Na Hamida Ramadhan Mzawa Online Dodoma WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la...

HISTORIA MPYA YAANDIKWA VITONGOJI VYA MAHUU NA KAVAMBUGHU.. RAIS SAMIA ATAJWA SHUJAA.

0
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro WANANCHI wa vitongoji vya Mahuu na Kavambughu kata ya Same wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameingia katika historia mpya tangu...

RAIS DKT SAMIA, DKT MWINYI WAZINDUA HOTEL YA KITALII BAWE ZANZIBAR

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe....

NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI CCM KUPITIA MAPENDEKEZO, SI KUGOMBEWA

0
Na Hamida Ramadhan, Mzawa Online ApDodoma CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kuachana na taharuki zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mchakato wa kumpata...

RAIS MWINYI: ONGEZEKO LA WAWEKEZAJI NI UKUAJI WA UCHUMI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa kuna ongezeko kubwa la Wawekezaji katika Sekta ya Utalii...

MAJALIWA: UBORA WA MIRADI UWIANE NA THAMANI YA FEDHA ZINAZOTOLEWA

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wa miradi inayotekelezwa na Serikali ikiwemo ya elimu kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaolingana...

“MSIWAONEE HURUMA WANAOKWEPA KODI” DK. MWIGULU NCHEMBA

0
Waziri wa Fedha Mhe. Dk. Mwigulu Nchemba ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutowaonea huruma watu wanaokwepa Kodi bila kujali ukubwa au umaarufu wao. Akifungua...