Home  2025
                                    Yearly Archives: 2025
SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA UHAMIAJI – DKT. BITEKO
                    
๐ Aweka jiwe la msingi jengo la Uhamiaji na Makaazi ya Askari
๐ Dkt. Biteko awapongeza uhamiaji kwa kutoa huduma nzuri
Na Ofisi ya Naibu Waziri...                
            DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 NI YA WATANZANIA WOTE
                    
Na Monica Sibanda
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, amesisitiza kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni...                
            DIPLOMASIA YA RAIS SAMIA INAWALETA WAKUU WA NCHI AFRIKA KUSHIRIKI MKUTANO WA M300 -DKT....
                    
๐ Asema mafanikio ya Sekta ya Nishati nayo yameibeba Tanzania Mkutano wa M300
๐ Vijiji vyote Tanzania vyafikishiwa umeme
๐ Ataja faida za Mkutano wa M300...                
            TRA NJOMBE YAWAFUATA WALIPAKODI NA KUGEUZA GARI KUWA OFISI
                    
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imelazimika kugeuza gari kuwa ofisi baada ya kuwafuata Walipakodi katika kijiji cha Ukalawa wilaya ya Njombe...                
            DKT. BITEKO AAGIZA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO KUSUKWA UPYA
                    
๐Akerwa na kusuasua kwa utendaji wa Kituo hicho
๐Awataka watendaji kuondokana na kufanya kazi kwa mazoea
๐Ahoji sababu za kutelekezwa kwa maelekezo yake ya 2024
Na Ofisi...                
            KOREA KUSINI YATOA DOLA BILIONI 2.5 KWA TANZANIA KWA MIRADI YA MAENDELEO
                    
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa dola za Marekani bilioni 2.5 zilizoahidiwa kutolewa na Jamhuri ya Korea Kusini kwa...                
            RC CHALAMILA AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO WA “AFRIKA ENERGY SUMMIT”
                    
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bw. Albert Chalamila amekagua uwanja wa ndege wa Dar es Salaam Terminal I eneo ambalo ndilo viongozi...                
            WAKAZI WA SAME WATAKIWA KUENZI MABADILIKO YA MIUNDOMBINU NA UCHUMI YANAYOWEKEZWA NA SERIKALI YA...
                    
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa wilaya ya Same kutambua na kumiliki mafanikio ya serikali kwa kutunza na kulinda miundimbinu inayowekezwa...                
            JAMAA APEWA MILIONI 10 NA YAS KWA KUFANYA MIAMALA TU , NAWEWE WAWEZA SHINDA...
                    
Na Mwandishi Wetu.
Hatimaye Kampuni ya Mawasiliano ya Yas Tanzania jana Januari 7, 2025 imekabidhi zawadi ya Tsh Mil 10 kwa Athumani Mrisho Kutoka mkoani Tanga, mshindi...                
            RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO YA MLIPAKODI BORA JANUARY 23.2025
                    
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kufanya maadhimisho ya siku ya shukrani na kutoa tuzo kwa Walipakodi bora kwa mwaka 2023/2024 tukio litakalofanyika Jijini...                
             
            












