Home  2025
                                    Yearly Archives: 2025
MALIASILI, MAMBO YA NDANI ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKUZA UTALII
                    
Na Happiness Shayo-Dodoma
Wizara ya Maliasili na Utalii imetakiwa kushirikiana kwa ukaribu na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kukuza soko la utalii...                
            HOSPITAL YA MWALIMU NYERERE YATAJWA ENEO LA USALAMA WA TAIFA KWA KULINDA AFYA ZA...
                    
Na Shomari Binda-Musoma
HOSPITAL ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo Musoma imetajwa kama eneo la Usalama wa Taifa kwa kulinda afya za wananchi.
Kauli...                
            LORI LAUA 11 WALIOKWENDA KUSHUHUDIA AJALI SEGERA.
                    
Na Ashrack Miraji Mzawa Online media
WATU 11 wamefariki dunia wa Kijiji cha Changโombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni Mkoani Tanga baada ya kugongwa...                
            MEGAWATI 30 ZA JOTOARDHI KUINGIA KWENYE GRIDI IFIKAPO 2026/2027 -DKT KAZUNGU
                    
๐ Anadi fursa za uwekezaji miradi ya Jotoardhi Baraza la 15 IRENA
๐ Asema Tanzania ina maeneo 50 yenye vyanzo vya Jotoardhi
๐ Ngozi, Kiejombaka, Songwe...                
            TBS NA ZBS WAWAFIKIA WAJASIRIAMALI MAONESHO YA 11 YA BIASHARA ZANZIBAR
                    
Maafisa kutoka Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) na Shirika la Viwango Zanzibar ( ZBS ) wakitoa elimu kwa wajasiriamali kuhusu umuhimu wa...                
            FANYA MIAMALA NA MIXX BY YAS ( TIGO PESA ) USHINDE GARI , SIMU...
                    
Na Mwandishi Wetu.
Mtandao namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali wa  Yas Tanzania, leo hii Januari 10, 2025, imekabidhi zawadi kwa washindi...                
            MEYA GUMBO AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA MADRASA MSIKITI WA MWISENGE MANISPAA YA MUSOMA
                    
Na Shomari Binda-Musoma
MEYA wa Manispaa ya Musoma na diwani wa Kata ya Makoko Kapteni mstafu Patrick Gumbo ameongoza harambee kukamilisha ujenzi wa madrasa kufundishia...                
            SHEKH MKOA WA SIMIYU ACHANGIA UJENZI WA MADRASA MUSOMA AKIONGEA KWA SIMU NA MEYA...
                    
Na Shomari Binda-Musoma
SHEKIKH wa mkoa wa Simiyu Issa Kwezi Kidayi amechangia mifuko 10 ya saruji kwenye ujenzi wa madrasa kwenye Msikiti wa Mwisenge na...                
            WAKUU WA SHULE NA WALIMU WA SEKONDARI WILAYA YA SAME WAJENGEWA UWEZO WA MTAALA...
                    
Na Ashrack Miraji, Mzawa online 
Afisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro, Mwalimu Neema Limunge, amesema kuwa mabadiliko ya mtaala mpya...                
            WANACHAMA WA CCM WATAKIWA KUJIEPUSHA NA MAJUNGU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
                    
NA WILLIUM PAUL, 
WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wameshauriwa kujiepusha na maneno ya uongo (majungu) hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ili...                
             
            