TAMISEMI, WIZARA YA FYA, NHIF, WATETA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Dkt. Jafar Seif, amesema kwa sasa TAMISEMI imewekeza nguvu kwenye...
TRA KUJA NA MFUMO MPYA WA IDRAS
Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Mapato ya Ndani (IDRAS) uliojengwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) unatarajiwa kuongeza ufanisi wa utendaji kazi ndani ya...
KUELEKEA MWAKA MPYA 2026, REA YAWASHIKA MKONO WAHITAJI
Kuelekea maadhimisho ya Mwaka Mpya 2026, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kugusa maisha ya Watanzania wenye mahitaji maalum kwa kutoa msaada wa kijamii...
TBS KANDA YA KATI WAZIPIGA MSASA KUHUSU MASUALA YA VIWANGO JUMUIYA ZA WAFANYA BIASHARA...
Itigi, Singida
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati , leo Desemba 19, 2025 limetoa elimu kwa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Halmashauri ya Wilaya...
NAIBU WAZIRI KATAMBI AFANYA ZIARA TBS , AITAKA JAMII KUSHIRIKIANA NAO KUKOMESHA BIDHAA ZISIZOKIDHI...
Na Mwandishi Wetu.
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi (Mb), ametoa wito kwa wananchi na mamlaka zote zinazohusika kudhibiti mianya isiyo rasmi...
PAPA AKEMEA MATUMIZI YA DINI
Viongozi wa siasa pamoja na wa kidini wanaotumia imani kama chombo cha kuidhinisha migongano, mapambano au sera za utaifa wamekosolewa vikali na Kanisa Katoliki...
SERIKALI YASISITIZA UTOAJI HUDUMA BORA UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya, Mhe. Mohammed Mchengerwa, amewataka viongozi na watendaji wa sekta ya afya...
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AHIMIZA UZALISHAJI WA BIDHAA ZA NDANI
By Magreth Zakaria
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ametoa wito kwa wazalishaji na wawekezaji kuendelea kuimarisha uzalishaji wa bidhaa nchini ili kuongeza ajira...
JUDITH KAPINGA ATOA MWELEKEO WA SERIKALI SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA
Na Magreth Zakaria
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Judith Kapinga, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha mazingira ya ufanyaji biashara yanakuwa rafiki kwa wawekezaji...











