Monday, March 16, 2026
Home 2025 November

Monthly Archives: November 2025

MHE. MUSSA ZUNGU ATEULIWA NA CCM KUGOMBEA NAFASI YA SPIKA

0
Mhe Mussa Mzungu Mti Mkavu ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania katika uchaguzi...

NCHIMBI: TANZANIA NI SALAMA NA TULIVU

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imechukua hatua...

MAWAKALA 120 WA MAREKANI WAVUTIWA NA SERENGETI TANZANIA

0
Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari ya kuvutia, wanyamapori, na urithi...

Othman Masoud Atoa Wito wa Umoja wa Wazanzibari

0
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, ameanza ziara maalum ya siku...

ZAIDI YA WAGENI 140 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WATEMBELEA HIFADHI YA KILWA KISIWANI

0
Hifadhi ya Urithi wa Utamaduni wa Dunia ya Magofu ya Kale ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara wilayani Kilwa imeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa...

DR. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM

0
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati...