DKT MWIGULU: WATUMISHI WA UMMA KAENI MGUU SAWA
▪️Awataka wawe tayari kuwezesha maendeleo, waende kwa gia ya kupandia mlima
▪️Amshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua
WAZIRI MKUU, Mteule, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Dkt. Mwigulu Aahidi Nidhamu na Uwajibikaji Baada ya Kuthibitishwa na Bunge
Baada ya kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka wazi kwamba safari ya kupambana na...
MKURUGENZI WA MANISPAA YA KIBAHA ATOA WITO KWA JAMII KUTUNZA MIUNDOMBINU YA MAENDELEO
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, ametoa wito kwa wananchi wa Manispaa hiyo kuhakikisha wanatunza miundombinu na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika...
RAIS SAMIA AMTEUA DKT. MWIGULU NCHEMBA KUWA WAZIRI MKUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...
ZAIDI YA WANANCHI 1,500 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJIKO BANIFU WILAYANI BABATI
Mkuu wa Wilaya ya wa Babati, Mheshimiwa Emmanuela Kaganda, leo Novemba 12, 2025 kwa niaba ya wakazi wa wilaya ya babati amezindua mradi wa...
RAIS MWINYI AZINDUA BARAZA LA 11 LA WAWAKILISHI, ATOA MWELEKEO WA SERIKALI KIPINDI CHA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar na kutoa...
RAIS SAMIA AWATEUA WABUNGE WAPYA SITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewateua wabunge wapya sita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
TRA YAKABIDHI SH. MILIONI 30 KWA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI ILALA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kodi Ilala, imekabidhi kiasi cha Sh. Milioni 30 kwa vikundi 15 vya wadau wa biashara kutoka mkoa...
SENDIGA AZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU KWA BEI YA RUZUKU...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa Queen Sendiga, leo Novemba 10, 2025, amezindua rasmi mradi wa uuzaji na usambazaji wa majiko banifu kwa bei...
JKT TANZANIA YASHINDWA KUDHIBITI MAKALI YA SIMBA SC
Wenyeji wa mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (NBC), JKT Tanzania, walijikuta katika wakati mgumu baada ya kuchapwa mabao 2-1 na wekundu wa...













