Kapinga: Tutaendelea kulinda Biashara za Wazawa kwa Nguvu zote.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amesema Serikali itaendelea kulinda kwa nguvu biashara za wazawa na kuimarisha ushirikiano na wafanyabiashara wa Kariakoo...
RAIS SAMIA ATOA RUZUKU YA KUFANYA WIRING MIRADI YA UMEME VIJIJINI
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaanza kutekeleza mradi wa kutandaza nyaya za umeme (wiring) kwa wananchi kupitia miradi ya kusambaza umeme inayotekelezwa...



