BENKI YA TCB KUSHIRIKI KIKAMILIFU UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
                    
Na Mwandishi Wetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliyofanyika...                
             
            