WADAU WAASWA KUSHIRIKI TUZO ZA UBORA 2025 , TANZANIA YANG’ARA TUZO ZA UBORA ZA...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendela kutoa hamasa kwa washiriki wa Tuzo za Ubora kwa mwaka 2025/26 kufanya maombi ambapo wadau wameaswa...
YAS WADHAMINI NDONDO CUP 2025 , MWENDELEZO WA KAMPENI YA ANZIA ULIPO
Na Mwandishi Wetu
Katika msimu mpya wa mashindano ya mpira wa miguu kwa vijana kutoka mitaani, maarufu kama NDONDO CUP, kampuni ya mawasiliano ya YAS...
BENKI YA TCB KUSHIRIKI KIKAMILIFU UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
Na Mwandishi Wetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliyofanyika...
TBS KANDA YA MASHARIKI WATEKETEZA TANI 64 ZA VIPODOZI VYENYE VIAMBATA SUMU NA VILIVYOISHA...
Na Adery Masta.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kupitia ofisi ya Kanda ya Mashariki limekamata na kuteketeza tani 64 za vipodozi vyenye thamani ya takribani...
DKT HASHIL ABDALLAH AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA UN
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Tisa (9) wa Umoja Wa Mataifa...
DKT.JAFO – RAIS SAMIA MGENI RASMI UZINDUZI KONGANI YA VIWANDA KWALA.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi...
MITUNGI 16,275 KUSAMBAZWA MKOA MZIMA
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo Julai 11,2025 wilayani Hanang amezindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo...
CHAUMMA YATOA MSIMAMO RASMI KUHUSU USHIRIKI UCHAGUZI 2025
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeendelea kusisitiza msimamo wake wa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kikitoa wito kwa watia nia...
MIXX BY YAS KINARA WA UTOAJI HUDUMA ZA KIFEDHA KIDIGITALI NCHINI, WAPATA CHETI KUTOKA...
Na Adery Masta.
Jana Julai 10, 2025, Dar es Salaam - Kampuni ya YAS imedhiirisha ukinara wake katika utoaji wa huduma za KIDIGITALI nchini ambapo...
WAOKOTA TAKA ZAIDI YA 300 DAR ES SALAAM, WAPEWA ELIMU YA FEDHA NA EQUITY...
Na Mwandishi Wetu.
Katika miji mingi ya Tanzania, kazi ya kuokota taka imekuwa njia muhimu ya kuilinda mazingira na kusaidia usafi wa miji,Vijana na wanawake...













