AfCFTA KUKAMILISHA KANUNI ZA UASILI WA BIDHAA ZA NGUO NA MAVAZI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Seleman Jafo (Mb.) ametoa rai kwa Wataalamu wa Eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA)kuhakikisha majadiliano kuhusu Kanuni...
TPDC, ZPDC ZAENDELEA KUSHIRIKIANA UENDELEZAJI SEKTA YA GESI NCHINI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano...
Dkt. ABDALLAH: MAFANIKIO YA AfCFTA YATEGEMEA USHIRIKIANO WA SEKTA BINAFSI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt Hashil Abdallah amewashauri Makatibu Wakuu wa Biashara chini ya Mkataba wa eneo Huru la Biashara Barani...
ZAO LA MWANI KATANI NA KOROSHO KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb.) ameiagiza Bodi ya Stakabadhi za Ghala kuhakikisha zao la Mwani, linakuwa zao la kwanza...
TRA KUIMARISHA UTOAJI WA ELIMU KWA MLIPA KODI
Serikali imesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekuwa ikitoa elimu ya kodi kwa njia mbalimbali kwa makundi yote ya walipakodi pamoja na Vikundi vya...
KAPINGA ASEMA KIPAUMBELE CHA SERIKALI NI KUFIKISHA UMEME KWENYE TAASISI ZOTE
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kipaumbele cha Serikali ni kuhakikisha Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii, kiuchumi na kidini zinafikiwa na...
SHULE YA UONGOZI NA CHUO CHA ADEM KUUNGANA KUBORESHA ELIMU NCHINI
Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Kibaha na Chuo Cha Uongozi wa Elimu ADEM wanatarajia kuja na mpango wa pamoja wa kutoa mafunzo kwa...
AZAKI KUIJENGA DIRA YA MAENDELEO 2050
Kuelekea katika wiki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS Justice Rutenge amewahimiza wananchi kupaza sauti zao kwa kutoa maoni yatakayopelekea kupata dira bora kwa maendeleo...
WAKAZI WA DIGUZI MORO WAPATA MWAROBAINI WA KUONDOKANA NA KERO YA MAJI
Zaidi ya wakazi 2000 wa Kijiji Cha Diguzi Kata ya Ngerengere Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wamenufaika na Mradi wa Maji Diguzi ambao unaenda...
RC MALIMA AUPOKEA MWENGE MORO,KUTEMBELEA MIRADI YA BIL.18.5
Mwenge wa uhuru 2025 umepokelewa leo Aprili 11, 2025 Mkoani Morogoro kutoka Mkoa wa Pwani na unatarajia kupitia miradi 70 ya maendeleo yenye thamani...













