Home 2025
Yearly Archives: 2025
REA YAENDELEA KUTEKELEZA KWA VITENDO MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA .
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Olivanus Thomas akimwakilisha Mkuu wa mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka leo Oktoba 20,2025 amezindua rasmi mradi wa...
SMZ YA AHIDI KUTUMIA BIDHAA ZINAZOTENGENEZWA NCHINI
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeaihidi kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania Bara na Zanzibar kwa kutumia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na Taasisi ya Uhandisi na Usanifu...
MHE. MCHENGERWA AWAOMBA WANARUFIJI WOTE DUNIANI KUJA KUMPOKEA RAIS SAMIA.
Na Yohana Kidaga- Muhoro, Rufiji
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa Wanarufiji na Wandengereko wote duniani kufika Rufiji kumpokea...
HABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI, OKTOBA 19, 2025
Hizi ni kurasa za mbele za magazeti ya leo, Jumapili tarehe 19 Oktoba 2025, zenye kuangazia habari kuu za kitaifa na kimataifa. Kupitia vichwa...
Yanga Yavunja Mkataba na Kocha Romain Folz
Klabu ya Young Africans SC imetangaza rasmi kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz, kuanzia Oktoba 18, 2025. Uamuzi huo umefikiwa...
YANGA YAANZA VIBAYA SAFARI YA AFRIKA
Klabu ya Yanga SC imeanza vibaya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) baada ya kukubali kichapo cha bao 1–0 kutoka kwa wenyeji wao, Silver...
TUMEDHAMIRIA KUIPAISHA MPANDA KIMAENDELEO – DKT. SAMIA
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza kasi ya...
DKT. SAMIA KUIMARISHA SEKTA YA NYUKI
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa katika kipindi cha miaka...
WAPUUZIENI WANAODAI TUNACHAPISHA FEDHA MPYA KWAAJILI YA UCHAGUZI- MWIGULU
Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kupuuza upotoshaji unaoenezwa kwenye...
WENJE AWASHANGAA WANAODAI DKT. SAMIA ANAKANDAMIZA DEMOKRASIA
Mwanachama Mpya wa Chama Cha Mapinduzi Ezekiah Wenje amesema katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, jumla ya kesi...













