Home 2023
Yearly Archives: 2023
MWANZA VETERAN MABINGWA NYERERE DAY BONANZA 2023
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU za soka na netball za Mwanza veteran zimechukua ubingwa wa bonanza la Nyerere day 2023 lililoitimishwa mjini Musoma.
Kwenye upande wa soka...
MUHONGO: TUMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini profesa Sospeter Muhongo amesema katika kumuenzi Baba wa Taifa ni kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji.
Amesema enzi...
AIR FRANCE – KLM YASHEHEREKEA MIAKA 90 YA UTOAJI HUDUMA.
Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Bwn. Nabil Hajloui ( kulia ) akikata keki katika Kusheherekea miaka 90 ya Shirika la Ndege la Ufaransa (...
BIBI MLEZI WA WATOTO YATIMA BUKOBA AILILIA SERIKALI, WADAU KUMSAIDIA VIFAA VYA KUKAMILISHA UJENZI...
Theophilida Felician, Kagera
Bibi Saada Seleman mkazi wa kata ya Hamgembe Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera mlezi watoto yatima katika kituo cha UYACHO kilichopo kata...
MBUNGE GHATI CHOMETE AITUMIA NYERERE DAY KUICHANGIA VITI JUMUIYA YA WAZAZI MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda- Musoma
MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ameitumia siku ya kumbukumbu ya miaka 24 ya kifo cha Baba wa...
GST YAHITIMISHA WIKI YA MAAFA DUNIANI
Zaidi ya wananchi 2500 wapata elimu ya Majanga ya Asili Manyara
Maadhimisho ya Wiki ya Maafa Duniani yamefikia kilele chake leo Oktoba 13, 2023 katika...
TBS YAWATAKA WADAU KUSHIRIKI KWENYE UANDAAJI WA VIWANGO , KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA...
Katika kuadhimisha Siku ya Viwango Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wadau na wananchi kushiriki vyema katika uandaaji wa viwango ili kwa pamoja...
RC KUNENGE AAGIZA KUKAMATWA VIONGOZI 24 WALIOHUSIKA KUUZWA ENEO LA HEKA 4000 MALI YA...
Na Scolastica Msewa, Kibaha
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa muda wa siku 14 kukamatwa viongozi 24 wakiwemo mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji...
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI YAOKOA MABILIONI YA SERIKALI
Na Boniface Gideon, TANGA
SERIKALI kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh Bilioni 600 na dola za Kimarekani milioni thelathini...
RC MTANDA MGENI RASMI BONANZA LA KUMBUKUMBU MIAKA 24 YA MWALIMU NYERERE
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Saidi Mtanda anataeajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza la kumbukumbu ya miaka 24 ya Baba wa Taifa...













