Saturday, May 2, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAJOELINA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumamosi, Desemba 16, 2023) ameungana na Marais kutoka nchi sita barani Afrika kwenye sherehe za kumuapisha Rais wa Madagascar,...

BAJETI YA KUBORESHA BARABARA KAGERA YAFIKIA BIL. 52.3

0
Na. Catherine Sungura - Kagera Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali kupitia Wakala...

MHE. KIKWETE: SERIKALI KUWABANA WATUMISHI WASIOFANYA KAZI

0
Na Lusungu Helela- Arusha  Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete amesema matumizi ya mfumo wa PIPIMS,...

ULEGA AKABIDHI MITUNGI YA MAJIKO YA GESI 1000 KWA WANAWAKE MKURANGA

0
NA SCOLASTICA MSEWA, MKURANGA Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Abdallah Ulega ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga amekabidhi mitungi ya majiko ya...

MANARA ATOA MAMILIONI KWA WASHINDI WA MAGIFTI DABO DABO YA TIGO

0
Na Mwandishi Wetu. Disemba 15, 2023  Luhuvilo Magombola Mkazi wa Mabibo, David Bombeki mwanachuo DIT, na Janeth Emmanuel Mghweno Mkazi wa Shekilango Dar Es Salaam wameingia...

MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UAPISHO WA RAIS RAJOELINA.

0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Disemba 15, 2023 amewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ivato uliopo Antananarivo nchini Madagascar na kupokelewa na Waziri...

Mwanza yaja na mikakati kabambe kupunguza migogoro ya Ardhi

0
Na Neema Kandoro Mwanza WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetatua migogoro 945 na kutoa hati zaidi ya 1000 katika Halmashauri za wilaya...

SERIKALI YAJIVUNIA MFUMO WA KIDIJITARI WA MANUNUZI  YA UMMA (NeST) KUZIBA MIANYA YA RUSHWA

0
Na Lusungu Helela - Arusha  Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Ridhiwani Kikwete  anesema eneo la ununuzi wa...

VITENGO HUDUMA YA DHARURA, “ICU” HOSPITAL YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MUSOMA YAKAMILIKA VIFAA...

0
Na Shomari Binda-Musoma VIFAA tiba kwaajili ya kutolea huduma kwenye hospital ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo Musoma vimekamilishwa kwaajili ya kutoa huduma kwa wananchi. Kuwepo...

SERIKALI IPO TAYARI KUNUNUA MADINI KUTOKA KWA WAFANYABIASHARA WA MADINI NCHINI – WAZIRI MAVUNDE

0
-Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa, wachimbaji wadogo kuendelea kuwezeshwa vifaa Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo...