SERIKALI YAAGIZA SEKTA ZOTE KUTUMIA WANUNUZI WENYE SIFA
Na. Peter Haule, WF, Arusha
Serikali imewaagiza waajiri wa Sekta zote nchini kuhakikisha wataalam wanaofanya shughuli za ununuzi na ugavi wanakuwa na sifa sitahiki kama...
KINANA: DIRA YA MAENDELEO ITABIORESHA PATO LA MTU MMOJA MMOJA
Na Mwandishi Wetu, Chato
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulurhaman Kinana amesema mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya...
PROF. KITILA MKUMBO AAHIDI UJENZI WA BARABARA KOROFI NA VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU...
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameahidi kujengwa kwa baadhi ya barabara korofi kwenye eneo la Kilungule...
LENGO LA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI NA WEZESHI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah amesema lengo la Serikali ya awamu ya Sita ni kuweka mazingira mazuri na...
UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA MJI WA KATESH WAFIKIA ASILIMIA 75
NA. MWANDISHI WETU
Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema hadi sasa urejeshaji wa miundombinu ya barabara na makalvati iliyokuwa imeharibiwa na maporomoko ya...
UDSM YAMWAGA WASAIKOLOJIA HANANG KUHUDUMIA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANGNA. MWANDISHI WETU
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimetoa wataalamu watano wa masuala ya Saikolojia ambao wataungana na wataalamu wengine ambao wanaendelea kutoa huduma katika...
Tawi jipya la Tigo shop lazinduliwa Buswelu
Na Neema Kandoro Mwanza
Tawi jipya la kutoa huduma za tigo katika Kata ya Buswelu limezinduliwa kwa lengo la kusogeza huduma ya kukopesha simu janja.
Akizungumza...
WANAWAKE VIJANA VIONGOZI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 20 ZA BARA LA AFRIKA WAMEKUTANA KIBAHA...
Na Scolastica Msewa, Kibaha.Katibu Mtendaji wa kanda ya Afrika Mashariki wa Pan African Women Organization PAWO Dkt. Suzan Kolimba amewataka Wanawake wenye sifa za...











