Home Kitaifa UIMARISHWAJI NA USIMAMIZI WA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA

UIMARISHWAJI NA USIMAMIZI WA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA

Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu leo amekutana na wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala wa Serikali ili kuweka mikakati ya namna ya kusimamia mashirika hayo kujiendesha kibiashara

Mkutano huo uliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina unaendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam na utahitimishwa siku ya kesho Aprili 20, 2023

Kauli mbiu ya Mkutano huo ni “Kimarisha Usimamizi na Uendeshaji wa Taasisi na Mashirika ya Umma kuelekea Uwekezaji Wenye Tija” kwa Taifa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!