Na Magrethy Katengu.
TMA imetoa utabiri unaoonyesha Upepo wa Pwani unaotarajiwa kuvuma kwa kiasi cha Km 20 Kwa saa Pwani yote ya Kusini.
Hali ya Bahari inatarajiwa kuwa Mawimbi kidogo huku mvua zikitarajiwa kunyesha katika baadhi ya maeneo ikiwemo Mkoa wa Dar es salaam,bTanga, Mtwara, Lindi pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.










