WADAU WA BIASHARA WAELIMISHWA NAMNA YA KUPATA HAKI KUPITIA BARAZA LA USHINDANI
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara jijini Mwanza,ili kuwaongezea uelewa kuhusu masuala ya ushindani...




