Home 2025
Yearly Archives: 2025
WAZEMBE, WAVIVU SERIKALINI KUKUTANA NA MOTO WA CCM
Na Deborah Lemmubi – Dodoma
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama hicho hakitasita kuchukua hatua kali...
RC SENYAMULE ATAKA UWAJIBIKAJI KWA MAAFISA MAENDELEO MKOA WA DODOMA.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amesema kuwa Maafisa Maendeleo wa Jamii ndio wanaopaswa kuikumbusha jamii wajibu wao pamoja na...
WAZIRI MCHENGERWA ATOA WITO WA BIDII NA UADILIFU KWA WATUMISHI WA AFYA
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu, na kuacha kufanya kazi kwa...
DOROTHY GWAJIMA: KIPINDI CHA PILI NI CHA MATOKEO NA USHIRIKIANO ZAIDI
Na Abdala Sifi WMJJWM - Dodoma
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka watumishi wa Wizara hiyo...
DKT. MWINYI AKAGUA MAENDELEO YA MRADI WA ZANZIBAR SPORTS CITY
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City kukagua maendeleo...
MWANACHUO MORO AJARIBU KUJIUA NA KITU CHENYE NCHA KALI
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Goodluck Charles Jactad (26), amenusurika kufa baada ya kujijeruhi vibaya kwa kujikata shingoni kwa kitu chenye...
NATAKA MATOKEO KWA WANANCHI SI HABARI ZA MICHAKATO INAENDELEA – RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema vurugu na uharibifu uliotokea nchini unaweza kuipunguzia sifa Tanzania ya kuweza kupata...
MHE. LUKUVI AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUZIDI KUMUAMINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu Mhe. Willium Lukuvi amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
SERIKALI YAUNDA TUME KUCHUNGUZA UVUNJIFU WA AMANI, OKTOBA 29
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 18, 2025 kwa mamlaka aliyonayo ameunda Tume huru ya kufanya...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA DKT. ASHATU KIJAJI KUWA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji leo Novemba...













