Wednesday, December 17, 2025
Home 2025

Yearly Archives: 2025

RAIS SAMIA AZINDUA TUME HURU YA UCHUNGUZI WA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI OKTOBA...

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameizindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea...

DKT. KIJAJI APOKEA RASMI OFISI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

0
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amekabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) tayari kwa...

MASAUNI ABORESHA MIKAKATI YA MAZINGIRA

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Ofisi hiyo imepanga kupanua wigo wa elimu...

BOT YATOA ONYO KALI: VIKOBA VISIVYO NA MKAGUZI KUPIGWA FAINI YA MILIONI 5

0
Vikundi vya kijamii vinavyojihusisha na amana ya fedha na kukopeshana (VIKOBA) vimetakiwa kuwa na Mkaguzi wa Ndani wa Fedha ambaye atakuwa akikagua mwenendo wa...

POLISI DODOMA WATHIBITISHA MAUAJI YA MC PILIPILI, UCHUNGUZI UNAENDELEA

0
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limethibitisha mauaji ya Emmanuel Mathias, maarufu kama MC PILIPILI, mkazi wa Swaswa jijini Dodoma, aliyefariki dunia Novemba 16,...

JIKO BANIFU KWA TSH 11,200: WANANCHI HANANG WANUFAIKA NA RUZUKU YA 80%

0
Wakazi wa Hanang waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati safi na salama ya kupikia. Rai hiyo imetolewa leo...

MABAKI YA MWILI WA MTANZANIA JOSHUA MOLLEL KUZIKWA KESHO BAADA YA KUWASILI

0
Mabaki ya mwili wa kijana Joshua Mollel, aliyeuawa nchini Israel na wapiganaji wa Hamas tarehe 7 Oktoba 2023, yamewasili leo katika Uwanja wa Ndege...

DKT. NCHIMBI AWASILI LUSAKA KUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE UKARABATI WA RELI YA TAZARA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Jijini Lusaka, Zambia, leo Novemba 19, 2025, kwa ajili...

WIZARA YA FEDHA YATWAA MKAJUKUMU MAKUBWA KUIMARISHA UCHUMI WA TAIFA

0
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Wizara ya Fedha imebeba matumaini ya Serikali na wananchi katika...

TUMEKUJA KUTIMIZA NDOTO YA RAIS SAMIA YA KULIJENGA TAIFA – MHE. CHANDE

0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Chande (Mb) ameitaka menejimenti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kutoa ushirikiano katika kutimiza ndoto za...