Monday, December 15, 2025
Home 2025

Yearly Archives: 2025

Serikali ya ahidi Ushirikiano kwa Wawekezaji kutatua changamoto Viwandani

0
Serikali imeahidi kuendelea kuhamasisha wawekezaji kuwekeza nchini, kwa kuweka mazingira wezeshi ikiwemo miundombinu na kutoa msaada katika kutatua changamoto mbalimbali zitakazojitokeza ili kuongeza ajira,...

WAZIRI AAGIZA DAWASA KUELEKEZA MAJI YOTE KWA MATUMIZI YA BINADAMU

0
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameielekeza Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA) kuhakikisha kuwa maji yanayopatikana yanatumika kwa mahitaji ya binadamu pekee...

WCF YAPONGEZWA KWA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu amepongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa hatua...

SERIKALI KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KONGANI YA VIWANDA KWALA

0
Serikali ya Awamu ya Sita imeahidi kuendelea kutekeleza ajenda ya ujenzi wa uchumi wa viwanda na malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050...

SERIKALI YABADILISHA MKONDO WA ELIMU, VIJANA WANUFAIKA ZAIDI

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amebainisha kuwa mwelekeo mpya wa elimu nchini unaoendelezwa chini ya Serikali ya Awamu ya Sita...

JESHI LA POLISI LATOA TAARIFA KUHUSU HALI YA USALAMA NCHINI

0
Na Halima Issa Hassan Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuimarika, hususan katika kipindi cha usiku, kutokana na ushirikiano kati...

TANZANIA YAADHIMISHA MIAKA 64 YA UHURU, RAIS SAMIA ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 1,036

0
Na Asella Denis Kila tarehe 9 Desemba, Tanzania inaadhimisha Siku ya Uhuru, na leo inaadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara, tukio muhimu linalokumbusha...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI KUJADILI UWEKEZAJI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino kwa mazungumzo...

TPDC NA PURA WAAGIZWA KUHAKIKISHA WANANCHI WANANUFAIKA NA MAFUTA NA GESI

0
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, ameielekeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli...

WAZIRI SIMBACHAWENE AONYA DHIDI YA MAANDAMANO YA DESEMBA 9

0
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amewataka wananchi kutokushabikia au kujiingiza katika maandamano yanayodaiwa kwamba yamepangwa kufanyika tarehe 9 Desemba, akibainisha kuwa hayajakidhi...