Home 2025
Yearly Archives: 2025
ACT WAZALENDO YAANZA MCHAKATO WA WATIANIA KUGOMBEA NAFASI ZA UCHAGUZI 2025.
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua rasmi mchakato wa ndani wa wanachama kujitokeza na kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
MAANDALIZI YA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI AFRIKA (MISSION 300) YAFIKIA ASILIMIA...
📌 Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa
📌 Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa...
WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027
📌Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa
📌Rais Samia kinara wa Michezo nchini
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za...
SHULE YA KWANZA YA GOROFA YA SEKONDARI KUJENGWA KATA YA KIGERA MANISPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
SHULE ya kwanza ya sekondari ya gorofa itaanza kujengwa hivi karibuni Kata ya Kigera manispaa ya Musoma.
Ujenzi huo utaanza baada ya hii...
WATOTO WALIOIBIWA WAKUTWA KWA MGANGA WA KIENYEJI
Na Magrethy KatenguDar es salaam
Watoto wawili Mahdy Kasim(me) Umri 04 na Husna Kasim(ke) 05 walioibiwa na binti wa kazi za ndani Januari 11, 2025...
CCM MUSOMA MJINI YAMPONGEZA RAIS DKT.SAMIA UTOAJI FIDIA BILIONI 3.9 KWA WANANCHI
Na Shomari Binda-Musoma
CHAMA cha Mapinduzi( CCM) Wilaya ya Musoma mjini kimempongeza na kumshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kiasi cha biliini 3.9...
DKT KAZUNGU ATETA NA BALOZI WA TANZANIA ABU DHABI
📌 Anadi miradi ya nishati kuvutia wawekezaji kutoka Abu Dhabi
📌 Ashiriki hafla ya ufunguzi wa Wiki ya uendelezaji Nishati Abu Dhabi na utoaji tuzo...
DC SAME AAGIZA KUKAMATWA KWA WAHUSIKA WALIOWAPA MIMBA WANAFUNZI WANNE WA SHULE ZA MSINGI...
Na Ashrack Miraji Mzawa Online Media
Kufuatia taarifa za ujauzito kwa wanafunzi wanne wa shule tofauti za msingi na sekondari katika kata za Kalemawe...
TMA YATOA TAARIFA UWEPO WA KIMBUNGA “DIKELEDI” KATIKA BAHARI YA HINDI MWAMBAO WA PWANI...
Na Mwandishi Wetu-media Dar es Salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “DIKELEDI” katika Bahari ya Hindi mwambao...
CBT YAWANOA MAAFISA UGANI WAKAFUFUE ZAO LA KOROSHO PWANI
Mkuu wa wilaya ya Mkuranga Khadija Nasri Ally amewataka maofisa ugani walioajiriwa na bodi ya korosho Tanzania CBT kutoa elimu kwa Wakulima wa zao...













