WIZARA YA FEDHA YAITA WADAU KUTOA MAONI YA KUBORESHA MWONGOZO WA USIMAMIZI WA MALI...
Wizara ya Fedha imetoa rai kwa wadau kutoa maoni yatakayowezesha kuboresha Rasimu ya Mwongozo wa Usimamizi wa Mali za Umma wa mwaka 2025 utakaosaidia...
SPIKA ZUNGU AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amekutana na Balozi wa Vatican nchini, Mhe. Askofu Mkuu Angelo Accattino,...
WATANZANIA WANAOSAFIRI KWENDA MAREKANI WATAKIWA KUZINGATIA MASHARTI YA VIZA ZAO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia masharti ya viza walizopewa, ikieleza kuwa ukiukwaji wa masharti hayo umechangia...
DKT. SEIF ASISITIZA KUKAMILIKA KWA MIRADI YA AFYA MWANZA
Watendaji wote waliopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wameelekezwa kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa...
BALOZI ZATAKIWA KUREJESHA WACHOCHEZI WA VURUGU
Balozi zimeombwa kuwarejesha nchini wachochezi wa vurugu za tarehe 29 Oktoba wanaoishi nje ya Tanzania, hususan Kenya na Marekani, ili wafikishwe mbele ya vyombo...
WATENDAJI WA MAMLAKA WATAKIWA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
Watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa wametakiwa kuweka mifumo rafiki itakayowawezesha wananchi kuwasilisha kero zao kwa urahisi na kupata...
MAJI YAENDELEA KUPATIKANA KIGAMBONI, CHANG’OMBE, KARIAKOO NA MJINI
Na Secilia Edwin
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa taarifa kuhusu kuendelea kwa upatikanaji wa huduma ya majisafi katika...
RITA YATAKIWA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA NDANI YA SAA 48
Na Halima Issa,
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetakiwa kutekeleza mpango wa utoaji wa vyeti vya kuzaliwa ndani ya saa 48 za kazi,...
KAMATI YA NJE YA BUNGE LA MAREKANI KUTEMBELEA TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), anatarajia kufanya mazungumzo ya kina na viongozi wa Serikali...
RAIS DKT. MWINYI AONYA HATUA KALI DHIDI YA VIONGOZI WATAKAOKIUKA MAADILI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya viongozi na...













