PAPA AKEMEA MATUMIZI YA DINI
Viongozi wa siasa pamoja na wa kidini wanaotumia imani kama chombo cha kuidhinisha migongano, mapambano au sera za utaifa wamekosolewa vikali na Kanisa Katoliki...
SERIKALI YASISITIZA UTOAJI HUDUMA BORA UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya, Mhe. Mohammed Mchengerwa, amewataka viongozi na watendaji wa sekta ya afya...




