JUDITH KAPINGA ATOA MWELEKEO WA SERIKALI SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA
Na Magreth Zakaria
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Judith Kapinga, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha mazingira ya ufanyaji biashara yanakuwa rafiki kwa wawekezaji...




