WIZARA YA FEDHA YAITA WADAU KUTOA MAONI YA KUBORESHA MWONGOZO WA USIMAMIZI WA MALI...
Wizara ya Fedha imetoa rai kwa wadau kutoa maoni yatakayowezesha kuboresha Rasimu ya Mwongozo wa Usimamizi wa Mali za Umma wa mwaka 2025 utakaosaidia...
SPIKA ZUNGU AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amekutana na Balozi wa Vatican nchini, Mhe. Askofu Mkuu Angelo Accattino,...
WATANZANIA WANAOSAFIRI KWENDA MAREKANI WATAKIWA KUZINGATIA MASHARTI YA VIZA ZAO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka Watanzania wanaosafiri kwenda Marekani kuzingatia masharti ya viza walizopewa, ikieleza kuwa ukiukwaji wa masharti hayo umechangia...
DKT. SEIF ASISITIZA KUKAMILIKA KWA MIRADI YA AFYA MWANZA
Watendaji wote waliopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wameelekezwa kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa...
BALOZI ZATAKIWA KUREJESHA WACHOCHEZI WA VURUGU
Balozi zimeombwa kuwarejesha nchini wachochezi wa vurugu za tarehe 29 Oktoba wanaoishi nje ya Tanzania, hususan Kenya na Marekani, ili wafikishwe mbele ya vyombo...








