Tuesday, March 3, 2026
Home 2025 December 15

Daily Archives: December 15, 2025

RITA YATAKIWA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA NDANI YA SAA 48

1
Na Halima Issa, Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetakiwa kutekeleza mpango wa utoaji wa vyeti vya kuzaliwa ndani ya saa 48 za kazi,...

KAMATI YA NJE YA BUNGE LA MAREKANI KUTEMBELEA TANZANIA

1
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), anatarajia kufanya mazungumzo ya kina na viongozi wa Serikali...

RAIS DKT. MWINYI AONYA HATUA KALI DHIDI YA VIONGOZI WATAKAOKIUKA MAADILI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya viongozi na...

SERIKALI YAONGEZA UWEKEZAJI WA BILIONI 52.27 KUIMARISHA ELIMU YA UFUNDI

0
Serikali itaendelea kuongeza uwekezaji mkubwa katika elimu ya ufundi kwa lengo la kuinua ujuzi, ubunifu na uwezo wa ushindani wa vijana katika soko la...

WANANCHI WAAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA

0
Na Asella Denis Mamia ya wananchi wamejitokeza kushiriki misa ya kumuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama. Ibada hiyo...

REA YAWAHIMIZA WATUMISHI BIDII, UADILIFU NA USHIRIKIANO KAZINI

0
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamehimizwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na kutumia maarifa yao ipasavyo ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa...

WATU 21 WAFARIKI KATIKA MAFURIKO MOROCCO

0
Na: Secilia Edwin Watu 21 wamefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko yaliyotokea jana Jumapili katika jimbo la...

MAKONDA AWATAKA MAOFISA HABARI KUSAMBAZA HABARI SAHIHI ZA SERIKALI

0
Na Secilia Edwin DODOMA – Maofisa habari wa serikali wametakiwa kuhakikisha wanazifikisha kwa wananchi habari na taarifa sahihi za utekelezaji wa shughuli za serikali ili...

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 9 WA WAKUU WA MAJESHI

0
Na Halima Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Desemba 15, 2025 amewasili katika...

MAHAKAMA YA KISUTU YAONDOA MAOMBI DHIDI YA GEOFFREY MMWAMBE NA VIONGOZI WA ULINZI

0
Na Asella Denis Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo Jumatatu Desemba 15, 2025, imeyaondoa rasmi maombi namba 289778/2025 yaliyokuwa yamefunguliwa Mahakamani hapo...
💬
Support