TANZANIA NI MFANO WA AMANI NA MSHIKAMANO DUNIANI β GUTERRES
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mheshimiwa Antonio Guterres, amesema Tanzania imekuwa ni rejea muhimu ya amani na mshikamano wa kijamii barani Afrika na...
WANU AMETAKA MRADI WA EASTRIP DIT MWANZA UKAMILISHWE KWA WAKATI
Na: Secilia Edwin
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hifadhi Ameir, amemtaka mkandarasi wa COMFIX & Engineering kuongeza kasi ya ujenzi wa miundombinu...





