Serikali ya ahidi Ushirikiano kwa Wawekezaji kutatua changamoto Viwandani
Serikali imeahidi kuendelea kuhamasisha wawekezaji kuwekeza nchini, kwa kuweka mazingira wezeshi ikiwemo miundombinu na kutoa msaada katika kutatua changamoto mbalimbali zitakazojitokeza ili kuongeza ajira,...




