JESHI LA POLISI LATOA TAARIFA KUHUSU HALI YA USALAMA NCHINI
Na Halima Issa Hassan
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuimarika, hususan katika kipindi cha usiku, kutokana na ushirikiano kati...



