Tuesday, March 3, 2026
Home 2025 December 8

Daily Archives: December 8, 2025

RAIS SAMIA AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI KUJADILI UWEKEZAJI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino kwa mazungumzo...

TPDC NA PURA WAAGIZWA KUHAKIKISHA WANANCHI WANANUFAIKA NA MAFUTA NA GESI

0
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, ameielekeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli...

WAZIRI SIMBACHAWENE AONYA DHIDI YA MAANDAMANO YA DESEMBA 9

0
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amewataka wananchi kutokushabikia au kujiingiza katika maandamano yanayodaiwa kwamba yamepangwa kufanyika tarehe 9 Desemba, akibainisha kuwa hayajakidhi...

WANANCHI VUO WAPATIWA FEDHA KUNUSURU RASILIMALI BAHARI

0
Na Boniface Gideon, TANGA Wakazi wa kijiji cha Vuo wilayani Mkinga mkoani Tanga, wamepatiwa mafunzo ya usimamizi wa mazingira ya bahari na usimamizi wa fedha...
💬
Support ✕