Saturday, November 22, 2025
Home 2025 October

Monthly Archives: October 2025

BENKI YA DUNIA KUSAIDIA TANZANIA KUWEKEZA KWENYE NISHATI NA SGR

0
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C, Marekani BENKI ya Dunia imeahidi kuiwezesha Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji wa nishati ya umeme itakayotumiwa na nchi za Afrika...

REA YANG’ARA MAONESHO YA WIKI YA CHAKULA TANGA

0
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia hapa nchini. Mhe. Majaliwa amebainisha hayo...

DKT. SAMIA KUFANYA KAMPENI ZAKE BUKOBA MJINI

0
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi Oktoba 16, 2025,...

TANZANIA YASHIRIKI MJADALA KUHUSU MATUMIZI YA AKILI MNEMBA KATIKA KUKUZA USIMAMIZI WA UCHUMI WA...

0
Na Chedaiwe Msuya, WF, Washington D.C, Marekani Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, ameshiriki katika Kikao cha Taasisi ya Usimamizi...

NCHI ZA AFRIKA ZAJADILI KUKUZA MAPATO YA NDANI KUEPUKA UTEGEMEZI WA MISAADA NA MIKOPO...

0
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C Nchi 14 za Afrika za Sub-Sahara za Kundi la Kwanza ambazo ni wanachama wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF),...

WATUHUMIWA WANNE WAKAMATWA KWA KUENDESHA TELEVISHENI MTANDAO

0
Na Magrethy Katengu – Mzawa Media, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za kisheria...

Viwanda vitatu vilivyosimama Uzalishaji vyafufuliwa Mkoa wa Tanga

0
Viwanda vitatu (3) vilivyosimama uzalishaji kwa sababu mbalimbali vimefufuliwa na vitaanza uzalishaji kamili Januari 2026 baada ya kukamilisha hatua mbalimbali ikiwemo ufungaji wa mitambo...

BRIGEDIA JENERALI NDAGALA AFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA USIMAMIZI WA MAAFA JIJINI MBEYA

0
MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Brigedia Jenerali Hosea Ndagala amefungua Kongamano la Wadau wa...

TPDC YAKUNWA KASI MRADI BOMBA LA MAFUTA UKIFIKIA 72%.

0
Na Boniface Gideon,TANGA‎‎Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Petroli nchini 'TPDC',imeonyesha kuridhishwa na kasi ya ujenzi na matengenezo ya mradi wa Bomba la mafuta ghafi...

TBS KANDA YA KATI WAKAMATA NA KUTEKETEZA TANI 1.53 ZA BIDHAA HAFIFU ZA CHAKULA...

0
Na Adery Masta. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza jumla ya tani 1.53 za bidhaa hafifu zenye thamani ya shilingi milioni Nane laki moja na...