Thursday, October 30, 2025
Home 2025 September

Monthly Archives: September 2025

JAFO: DKT. SAMIA AMETUONESHA MIUJIZA NDANI YA MIAKA MINNE YA UONGOZI WAKE

0
Mgombea ubunge Jimbo la Kisarawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Selemani Jafo, leo Ijumaa Septemba 26, 2025, amehutubia mamia ya wananchi katika Viwanja...

BIDHAA ZA NGOZI ZA DIT ZATIKISA MAADHIMISHO YA 22 YA SIKU YA WAHANDISI KITAIFA...

0
Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) kupitia kampasi yake ya Mwanza imeshiriki Maadhimisho ya 22 ya Siku ya Wahandisi Kitaifa yanayoendelea...

UTAZIPENDA SIMU HIZI MPYA KUTOKA YAS NA ZTE , WAWEZA KUNUNUA AU KUKOPA KWA...

0
Na Adery Masta. Dar es Salaam – 26 Septemba 2025: Katika jitihada za kuongeza upatikanaji wa simu za mkononi na kukuza matumizi ya huduma za...

TBS WATOA ELIMU YA VIWANGO VYA MADINI , MAONESHO YA NANE YA TEKNOLOJIA YA...

0
 Na Adery Masta. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kwa wadau wa sekta ya madini kuhusu umuhimu wa kuzingatia viwango vya ubora, katika Maonesho...

TBS KANDA YA DAR ES SALAAM WATEKETEZA TANI 50 ZA BIDHAA HAFIFU

0
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza jumla ya tani 50 za bidhaa hafifu zenye thamani ya shilingi milioni 525, ambapo kati ya hizo tani...

LG ELECTRONICS WAFUNGUA DUKA JIPYA NA LA KISASA DAR ES SALAAM.

0
Kutoka Kushoto ni Meneja Mkaazi wa kampuni ya LG Tanzania, Aashim Wadhw, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania (MeTL) Indrabhuwan Singh,...

SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA ( TBS ) KUFANYA MAKUBWA MAADHIMISHO YA MIAKA 50

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limezindua rasmi Maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1975 ambapo tukio hilo lililohudhuriwa na Viongozi...

Serikali yatenga milioni 400/- kwa soko la muda Kawe baada ya janga la moto

0
Serikali imesema ujenzi wa soko la muda kwa wafanyabiashara waliokumbwa na janga la moto katika soko la Kawe utakamilika ndani ya wiki mbili, huku...

JAFO: BARABARA, SHULE NA UMEME KIPAUMBELE KISARAWE

0
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Selemani Saidi Jafo, ameahidi kuendeleza miradi ya maendeleo kwa kasi zaidi katika...

MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAONGEZEKA NCHINI

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha.Felchesmi Mramba ameeleza kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia nchinj yameongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi...