WANANCHI WAKARIBISHWA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NANENANE DODIMA
                    
Wizara ya Nishati imeendelea kukaribisha wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (NANENANE) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni...                
            WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA WAASWA KUEPUKA MATAPELI
                    
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.
Wizara ya Fedha imeawaasa wastaafu wanaolipwa mafao na Hazina kujiepusha na jumbe kwa njia ya simu zinazotumwa na watu wasiojulikana...                
             
            