DKT HASHIL ABDALLAH AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA UN
                    
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Tisa (9) wa Umoja Wa Mataifa...                
            DKT.JAFO – RAIS SAMIA MGENI RASMI UZINDUZI KONGANI YA VIWANDA KWALA.
                    
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi...                
             
            