CHALAMILA ATOA ONYO KALI KABLA YA KESI YA TUNDU LISSU APRILI 24
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa onyo dhidi ya watu wanaopanga kuanzisha vurugu au kuhamasisha machafuko ifikapo Aprili 24, 2025...
AKILI UNDE,TEKNOLOJIA YA KIDIJITALI NDANI YA SIKU YA USALAMA MAHALI PA KAZI,SINGIDA.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Ajira,Vijana na wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete amesema kuwa katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya...
SERIKALI YATAMBUA UMUHIMU WA NDOA KAMA MSINGI WA TAIFA – PROF. KABUDI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema Serikali inaona umuhimu mkubwa wa taasisi ya ndoa kwani ndiyo msingi wa kuunda...
DKT. JAFO : ZALISHENI MAFUTA YA KULA KWA WINGI KUKIDHI MAHITAJI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb), ametoa rai Wazalishaji wa ndani kuongeza uzalishaji wa mafuta ya kula ili kupunguza uagizwaji...
VITONGOJI 82 TARIME VIJIJINI KUPELEKEWA UMEME NA MRADI WA HEP IIB-KAPINGA
Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili...
TRA KUWACHUKULIA HATUA WAINGIZAJI MAFUTA WASIOFUATA UTARATIBU
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema TRA itawachukulia hatua Kali kwa mujibu wa sheria waagizaji na wauzaji...
DKT.JAFO ATAKA WATANZANIA KUNUNUA MABATI YANAYOZALISHWA NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) amesema Serikali imeweka utaratibu mzuri wa kuvilinda Viwanda vya mabati nchini kwa kuweka kodi kubwa kwa mabati...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI ZAIDI YA 22,OOO MKOA WA PWANI
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeitambulisha kampuni ya Manjis Gas ambayo imepewa jukumu la kusambaza mitungi ya gesi 22,785 itakayouzwa kwa bei ya ruzuku...
WASHIRIKI ZAIDI YA 300 WAMEJIANDIKISHA KUSHIRIKI MAONESHO YA EXPO 2025 JAPAN.
Waziri wa Viwanda na Biashara (mb) Dkt. Selemani Jafo amesema mpaka sasa Washiriki zaidi ya 300 kutoka Tanzania wamejiandikisha kushiriki Maonesho ya Expo 2025...
MAJALIWA AIPA MAAGIZO TANROADS UKARABATI WA BARABARA NA MADARAJA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mameneja wa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwenye madaraja na makalavati...













