VITONGOJI 82 TARIME VIJIJINI KUPELEKEWA UMEME NA MRADI WA HEP IIB-KAPINGA
Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili...
TRA KUWACHUKULIA HATUA WAINGIZAJI MAFUTA WASIOFUATA UTARATIBU
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema TRA itawachukulia hatua Kali kwa mujibu wa sheria waagizaji na wauzaji...
DKT.JAFO ATAKA WATANZANIA KUNUNUA MABATI YANAYOZALISHWA NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) amesema Serikali imeweka utaratibu mzuri wa kuvilinda Viwanda vya mabati nchini kwa kuweka kodi kubwa kwa mabati...






