SERIKALI INAENDELEA NA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA UMEME β KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na ukarabati wa miundombinu ya kusambaza umeme ili...
MAADHIMISHO YA SIKU YA JINSIA CBE, YAPAMBWA KWA MADA MBALIMBALI
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeadhimisha siku ya jinsia leo April,10,2025 huku ikiambatana na kumbukizi ya miaka 60 toka kuanzishwa kwa chuo hiki...
WAZIRI MASAUNI AZINDUA KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI BIASHARA YA KABONI.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
WAZIRI Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhandisi Hamad Masauni ameeleza kuwa Serikali itaendelea kutekeleza majukumu yake katika kusimamia masuala...
WAZIRI JAFO AFURAHISHWA NA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MAGODORO YA DODOM ASILI, ATAKA WALIFIKIE SOKO...
Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amewataka Wamiliki wa Kiwanda Cha Magodoro ya Dodoma Asili kuhakikisha wanalifikia Soko huru la Afrika (AfCFTA) katika...







