<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><?xml-stylesheet type="text/xsl" href="//www.mzawa.co.tz/main-sitemap.xsl"?>
<urlset xmlns="http://www.sitemaps.org/schemas/sitemap/0.9" xmlns:video="http://www.google.com/schemas/sitemap-video/1.1">
	<url>
		<loc>https://www.mzawa.co.tz/tanesco-yakemea-uhujumu-na-wizi-wa-miundombinu-ya-umeme/</loc>
		<video:video>
			<video:thumbnail_loc>https://www.mzawa.co.tz/wp-content/uploads/2026/10/IMG-20261028-WA0006.webp</video:thumbnail_loc>
			<video:title>TANESCO YAKEMEA UHUJUMU NA WIZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME</video:title>
			<video:description>Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitishwa na vitendo vinavyoendelea vya uhujumu wa miundombinu ya umeme katika mikoa ya Iringa na Njombe, vinavyohusisha uchomaji wa nguzo za umeme na wizi wa transfoma.



Hadi sasa, jumla ya nguzo 66 zimeungua, huku moto ukiendelea kuwaka. Katika Mkoa wa Njombe, jumla ya nguzo 39 zimeungua katika maeneo ya Mgala (13), Utengule (3), Iboya (2), Image (2), Igoma (2), Utalingolo (4) na Yakobi (13). Katika Wilaya ya Makete, jumla ya nguzo 27 zimeungua katika maeneo ya Ikonda (16), Ilela (5), Ipelele (3) na Lupila (3).







Taarifa iliyotolewa na TANESCO Oktoba 28, 2026, imesema vitendo hivyo vimesababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika maeneo yanayoathirika na kuisababishia Shirika hasara, huku vikiathiri shughuli za kijamii na kiuchumi za wananchi.



&quot;Katika Mkoa wa Njombe, nguzo zipatazo 66 zimeungua katika maeneo ya Yakobi, Iboya, Utalingolo, Image, Utengule, Igoma, Utalingolo, Makete, Ikonda, Ilela, Ipelele, Lupila na Mgala. Aidha, transfoma moja imeibiwa katika eneo la Mafinga, Wilaya ya Wanging&apos;ombe,&quot; imesema taarifa hiyo.



Kwa upande wa Mkoa wa Iringa, Wilaya ya Kilolo, nguzo 10 zimeungua, nyaya zimeharibika na transfoma moja yenye uwezo wa kVA 100 imeibiwa. Katika Wilaya ya Mafinga, nguzo tano zimeungua na transfoma mbili, kila moja yenye uwezo wa kVA 50, zimeibiwa.







TANESCO inakemea vikali vitendo hivyo na kuwaonya wote wanaohusika kuacha mara moja uharibifu na wizi wa miundombinu ya umeme.



Aidha, wananchi wanahimizwa kuchukua tahadhari wakati wa kuchoma moto kwa shughuli za kilimo na usafishaji wa mashamba ili kuzuia moto kusambaa na kuharibu miundombinu ya umeme.



Shirika linatoa wito kwa wananchi kushirikiana kulinda miundombinu hiyo kwa kutoa taarifa za wizi, uchomaji wa makusudi na uharibifu wa vifaa vya umeme kwa Jeshi la Polisi au kupitia namba ya huduma kwa wateja ya TANESCO, 180, ili hatua stahiki zichukuliwe.



Ulinzi wa miundombinu ya umeme ni wajibu wa kila mmoja wetu. Tushirikiane sote kukomesha vitendo vya hujuma na kuhakikisha h</video:description>
			<video:content_loc>https://www.mzawa.co.tz/wp-content/uploads/2026/10/VID-20261028-WA0009.mp4</video:content_loc>
		</video:video>
	</url>
	<url>
		<loc>https://www.mzawa.co.tz/prof-janabi-azindua-wodi-ya-watoto-njiti-hospitali-ya-wilaya-ya-kwimba-mwanza/</loc>
		<video:video>
			<video:thumbnail_loc>https://i.ytimg.com/vi/I7tgM62qY7I/hqdefault.jpg</video:thumbnail_loc>
			<video:title>PROF. JANABI AZINDUA WODI YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA WILAYA YA KWIMBA, MWANZA</video:title>
			<video:description>Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Prof. Mohamed Janabi amezindua wodi ya kwanza na ya kisasa nchini kwa ajili ya watoto njiti, iliyojengwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza.



Prof. Janabi amefanya uzinduzi huo jumamosi Februari 28, 2028 kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt. Tedros Ghebreyesus ambapo ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 2.125 ikijumuisha jengo, vifaa tiba na mbili nyumba za watumishi.



Prof. Janabi ametumia fursa hiyo kuipongeza taasisi ya Doris Mollel (Doris Mollel Foundation- DMF) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Keep a Child Alive (KCA) na Shirika la JHPIEGO  kwa kufanikisha mradi huo utakaosaidia kuzuia vifo vya wazazi na watoto hasa wanaozaliwa kabla ya wakati ama chini ya uzito.



&quot;Kila mwaka Kanda ya Afrika inapoteza watoto milioni hivyo WHO tutaendelea kuunga mkono jitihada hizi ili kuhakikisha hakuna mtoto ama mzazi anapoteza maisha&quot; amesema Prof. Janabi huku pia akiipongeza Serikali ya Tanzania kwa jitihada inazoendelea kuchukua kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuboresha huduma za afya.



Mkurugenzi wa DMF, Doris Mollel amesema wazo la ujenzi wa wodi hiyo lilianza mwaka 2021 taasisi hiyo ilipoenesha kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa ajili ya wodi za watoto njiti nchini ambapo Wilaya ya Kwimba ilibainika kuwa kwenye uhitaji wa wodi na hivyo kuanza mchangato wa kutafuta fedha zilizofanikisha kukamilisha mradi huo.



Naye Mkurugenzi wa Shirika la JHPIEGO Tanzania, Alice Christensen amesema kukamilika kwa wodi hiyo kutatoa mfano kote nchini namna wodi za watoto njiti zinavyopaswa kuwa hatua itakayosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto wakati wa kujifungua ambapo shirika hilo limechangia zaidi ya shilingi milioni 200 kwenye utekelezaji wa mradi huo.



Kwa upande wao baadhi ya wakazi wa Kwimba akiwemo Modesta Malashi, Vumilia Ally na Mariam Lucas wamesema wodi hiyo itawaondolea adha ya kubanana kwenye wodi ya pamoja iliyokuwepo awali hospitalini hapo huku pia wakilazimika kusafiri umbali m</video:description>
			<video:player_loc>https://www.youtube.com/embed/I7tgM62qY7I</video:player_loc>
		</video:video>
	</url>
</urlset>

<!-- XML Sitemap generated by Rank Math SEO Plugin (c) Rank Math - rankmath.com -->