MAWAKALA 120 WA MAREKANI WAVUTIWA NA SERENGETI TANZANIA
Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari ya kuvutia, wanyamapori, na urithi...




